Hebrews 10:16-17


16 a“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao
baada ya siku hizo, asema Bwana.
Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao,
na kuziandika katika nia zao.”

17 bKisha aongeza kusema: “Dhambi zao na kutokutii kwao
sitakumbuka tena.”

Copyright information for SwhKC